BizDaftari
BizDaftari ni daftari la kisasa la kidijitali linalokurahisishia kurekodi mauzo ya kila siku (pesa taslimu, mitandao ya simu na benki), kusimamia madeni ya wateja na kutuma vikumbusho (reminders) vya malipo kupitia WhatsApp - yote haya yakifanya kazi bila intaneti ili kulinda mtaji na kukuza faida ya biashara yako